Freelancer wengi wana komalia zaidi UPWORK na kusahau kuwa kuna majukwaa mengine mazuri na yenye nguvu pia.
Moja ya Jukwaa bora kabisa kwangu mimi ni FIVERR.
Jukwaa ambalo kibongo wengi hawajalichukulia SERIOUS.
Hizi ni baadhi ya makala nimeandika kuhusu FIVERR.
Thread ๐
Tuanze na hii. Haoa kuna details zote kuhusu FIVERR
"How To Make Money On Fiverr: The Complete Guide 2022"
Ndio maana nikaaita "The complete Guide" hii ni zaidi ya Course unaeza lipia huko coursera kabisa.
kidigitali.com/2021/10/how-to-make-money-on-fiverr.html
"How to Make Money as a Freelancer on Fiverr"
Hapa ni jinsi gani unaeza itumia Fiverr kupata pesa.
Part hii inapatika pia kwenye complete guide.
kidigitali.com/2021/09/make-money-on-fiverr.html
FIVERR ina husisha zaidi freelancer kutengeneza Giggs zake na kuuza ujuzi wake kwa clients.
Sasa ni muhimu kujua namna ya kutengeneza GIG yako ikae kiushindani zaidi.
Basi hapa nimekuandikia "How To Create A Gig On Fiverr in 2022 (Complete Tutorial)"
kidigitali.com/2021/09/how-to-create-gig-on-fiverr.html
Kuna idea nyingi sana za Gig unazo weza kuuza kwenye FIVERR.
Ila sio kila gig ina uzika sana.
Hapa nime kuwekea "Best Fiverr Gig Ideas For Beginners To Make Money In 2022"
kidigitali.com/2021/09/fiverr-gigs-ideas.html
Sasa hapa ndio muhimu zaidi.
Ushindani ni mkubwa sasa unafanyaje kuweza kuzipa gig zako visibility zionekane kwa clients.
Nimekuashushia hii makala how to "increase Fiverr Conversion Rate"
Zifanye gig zako zikae on top of Fiverr home page na searches.
kidigitali.com/2021/09/Increase-Fiverr-conversion-rate.html
Na mwisho kabisa kama freelancer lazima ujuze tofauti ya hizi platform ili iwe rahisi kwako kuweza kuchagua wapi uwekeze nguvu zaidi.
Work smart na sio harder.
Hapa nimekuwekea tofauti kati ya UPWORK na FIVERR
Soma ikusaidie kuzijua hizi platform.
kidigitali.com/2021/09/upwork-vs-fiverr.html